UN yataka uchunguzi kuhusu mauaji ya Waislamu Myanmar

IQNA

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Navy Pillay ametaka kufanyike uchunguzi kamili wa mauaji hayo na kuhakikisha kwamba uadilifu unatendeka.
Habari ID: 1366482    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/26